CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 33
b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 2 marks · Topic: Kusoma, Novela
29. NOVELLA
Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.
Gari liliteremka taratibu. Mela alitupa macho nje kutazama mazingira tofauti na aliyoyazoea. Zamani kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto. Walipofika kwenye daraja, Mela alishtuka kuona mto Salama umebaki na maji machache ya kahawia. Aliambiwa kuwa viwanda na mashamba ya biashara yamejengwa kandokando ya mto huo, na sasa haukuwa na samaki tena.
Mela alihuzunika na kujiuliza kwa nini binadamu anaendelea kuharibu mazingira yake mwenyewe.
b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)
Answer
Viwanda vilivyojengwa kando ya mto vimechafua maji kuwa ya kahawia, na mashamba ya biashara yameharibu mto hadi samaki wakatoweka.
Kifungu kinataja viwanda na mashamba ya biashara kando ya mto.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasiQuestion 34
- d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)Question 35
- e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)Question 36
- SEHEMU A: 1. Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi? (1 alama)Question 1
- Thibitisha kuwa kondoo aliishi vizuri na wanyama wengine shambani. (1 alama)Question 2
- Nini kilimwokoa kondoo? (1 alama)Question 3