CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 28
SEHEMU E: FASIHI 28. (a) Taja tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. (3 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
SEHEMU E: FASIHI
28. (a) Taja tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. (3 alama)
Answer
Andishi huandikwa lakini simulizi hupokezwa kwa mdomo; andishi hudumu bila kubadilika lakini simulizi hubadilika; andishi husomwa lakini simulizi husikilizwa na hadhira.
Kila tofauti ilinganishe pande mbili.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto. (2 alama)Question 29
- (c) Taja sifa nne za bembelezi. (4 alama)Question 30
- (d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)Question 31
- a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)Question 32
- b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)Question 33
- c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasiQuestion 34