CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 26
Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa: “Yona amewapeleka mifugo malishoni.”
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
26. Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa:
“Yona amewapeleka mifugo malishoni.”
Answer
Mifugo wamepelekwa malishoni na Yona.
Kitendwa huanza na kilichotendewa: mifugo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo: “Tungalitunza misitu ipasavyo, tungalipata manufaa mengi.”Question 27
- SEHEMU E: FASIHI 28. (a) Taja tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. (3 alama)Question 28
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto. (2 alama)Question 29
- (c) Taja sifa nne za bembelezi. (4 alama)Question 30
- (d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)Question 31
- a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)Question 32