CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 20
Tumia viambishi ngeli kukamilisha: (2 alama) Ushirikiano wetu ___metusaidia kukamilisha kazi ___liyokuwepo kwa haraka.
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
20. Tumia viambishi ngeli kukamilisha: (2 alama)
Ushirikiano wetu ___metusaidia kukamilisha kazi ___liyokuwepo kwa haraka.
Answer
Ushirikiano wetu umetusaidia kukamilisha kazi iliyokuwepo kwa haraka.
Ushirikiano ni ngeli ya U-I (u-); kazi ni I-ZI (i-).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kitenzi kilichopigiwa mstari katika sentensi “Kago alikuwa akizifua nguo zake” ni cha aina gani?Question 21
- Kamilisha jedwali: Maagano — Jibu Tuonane kesho — Inshallah Alamsiki — ___Question 22
- Kamilisha sentensi ifuatayo: Shule ya Bidii ina wanafunzi ___. (1 alama)Question 23
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa ___. (1 alama)Question 24
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo: “Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.”Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa: “Yona amewapeleka mifugo malishoni.”Question 26