CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 18
Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino
18. Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.
- AMaji, Moshi, Vumbi, Sukari, Bunda
- BAmani, Upendo, Utiifu, Wema
- CMkataba, Mkungu, Kipato, Vumbi
- DBaiskeli, Taa, Mkoba, Kisu
Answer
D. Baiskeli, Taa, Mkoba, Kisu
Baiskeli, taa, mkoba na kisu ni vitu vya kawaida vinavyohesabika. B ni nomino dhahania; A ina nomino za wingi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea: “Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.”Question 19
- Tumia viambishi ngeli kukamilisha: (2 alama) Ushirikiano wetu ___metusaidia kukamilisha kazi ___liyokuwepo kwa haraka.Question 20
- Kitenzi kilichopigiwa mstari katika sentensi “Kago alikuwa akizifua nguo zake” ni cha aina gani?Question 21
- Kamilisha jedwali: Maagano — Jibu Tuonane kesho — Inshallah Alamsiki — ___Question 22
- Kamilisha sentensi ifuatayo: Shule ya Bidii ina wanafunzi ___. (1 alama)Question 23
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa ___. (1 alama)Question 24