CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 17
Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi.
Familia ___(13)___ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ___(14)___ njia hizo ni ___(15)___ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ___(16)___ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ___(17)___ maishani.
17. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.
- AKumthamini
- BKukudhamini
- CKujithamini
- DKujidhamini
Answer
C. Kujithamini
Akitiwa moyo, mtoto ataweza kujithamini (kujiona ana thamani).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.Question 18
- Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea: “Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.”Question 19
- Tumia viambishi ngeli kukamilisha: (2 alama) Ushirikiano wetu ___metusaidia kukamilisha kazi ___liyokuwepo kwa haraka.Question 20
- Kitenzi kilichopigiwa mstari katika sentensi “Kago alikuwa akizifua nguo zake” ni cha aina gani?Question 21
- Kamilisha jedwali: Maagano — Jibu Tuonane kesho — Inshallah Alamsiki — ___Question 22
- Kamilisha sentensi ifuatayo: Shule ya Bidii ina wanafunzi ___. (1 alama)Question 23