naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 15

Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 15.

From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi.
Familia ___(13)___ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ___(14)___ njia hizo ni ___(15)___ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ___(16)___ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ___(17)___ maishani.

15. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 15.

  1. AKuihakikisha
  2. BKuwahakikishia
  3. CKumhakikishia
  4. DKuwahakikisha

Answer

C. Kumhakikishia

Mtoto ni mmoja (A-WA umoja): kumhakikishia usalama wake.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test