CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026: Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11)
Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 50 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Iwapo taifa halina wananchi waadilifu,Answer: A. haliwezi kuendelea mbele.
- Question 2: Kulingana na kifungu “udongo wenye rutuba” niAnswer: B. wananchi waadilifu.
- Question 3: Uadilifu huletaAnswer: B. uwajibikaji, uwekevu.
- Question 4: Kwa jumla, watakaochangia uadilifu shuleni ni wafuatao isipokuwaAnswer: D. viongozi wa kitaifa
- Question 5: Jukumu la viongozi wa dini kulingana na kifungu niAnswer: B. kutoa mawaidha.
- Question 6: Ukosefu wa nidhamu shuleni unaonyeshwa kupitiaAnswer: A. watoto wa siku hizi hawaambiliki.
- Question 7: Mwandishi anaanza kwa kusema kuwa mazingira ni mamboAnswer: A. yanayomzunguka binadamu.
- Question 8: Kati ya haya, ni lipi lisiloathiriwa na mazingira?Answer: D. Utamaduni wa binadamu.
- Question 9: Kulingana na maoni ya mwandishi kuhusu mtoto,Answer: A. mtoto anayekulia katika mazingira ya uhalifu huweza kuwa mhalifu.
- Question 10: Mtoto anayekua akishuhudia watu wakipigana na kuumizana,Answer: B. hukosa kuona thamani ya amani na utangamano.
- Question 11: Mtoto anayejua kila aina ya matusi aghalabu huwaAnswer: B. amelelewa katika mazingira yaliyojaa wenye vinywa vichafu.
- Question 12: Chagua kichwa faafu cha kifungu hiki.Answer: A. Athari za mazingira kwa maisha ya watoto.
- Question 13: Maonyesho ya kilimo huwa kila baada ya wakati gani?Answer: B. Kila mwaka
- Question 14: Maonyesho ya kilimo yanayofanyiwa jijini Mawengo huchukua muda gani?Answer: C. Siku saba
- Question 15: Wakulima huleta wanyama wafuatao isipokuwaAnswer: B. mbwa
- Question 16: Ni michezo gani haichezwi wakati wa maonyesho?Answer: C. Kandanda
- Question 17: Ni kichwa gani mwafaka kwa kifungu hiki?Answer: C. Maonyesho ya kilimo
- Question 18: Ni vyakula gani hupunguzwa bei kwa pamoja siku ya Jumanne na Jumapili?Answer: C. Pilau na chapati.
- Question 19: Ni vyakula vipi havipunguzwi bei siku za wikendi?Answer: C. Samaki na kuku.
- Question 20: Kwa jumla, ni aina ngapi za vyakula hazipunguzwi bei hata mara moja wikendi?Answer: B. 2
- Question 21: Chagua jibu sahihi kukamilisha nafasi ya 21 iliyoachwa wazi kwenye kifungu.Answer: A. Marahaba
- Question 22: Ni nini ambacho kinaonyesha kuwa mazungumzo kati ya Baraka na Nyanya ni ya mahojiano?Answer: A. Mmoja wao anajibu maswali.
- Question 23: Ni salamu gani ingefaa wakati wa asubuhi?Answer: B. Sabalheri.
- Question 24: Nyanya anamweleza Baraka kuwa “Mnafanana naye kama shilingi kwa ya pili” Je, hii ni mbinu gani ya lugha?Answer: D. Tashbihi
- Question 25: Ni viziada lugha gani ambavyo Baraka ametumia kuonyesha hali ya kuona haya?Answer: A. Kuweka mikono usoni
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Answer: B. pambo
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Answer: A. ndiyo
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: D. kuwa
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: B. Hawa
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: B. huwavutia
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: A. kutokana na
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: C. kuundia
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: D. bila ya
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: B. kuitunza
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: D. mingine
- Question 36: Chagua ukanusho wa, Alisoma akafaulu.Answer: B. Hakusoma wala hakufaulu.
- Question 37: Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari (‘Batamzinga’ na ‘wageni’) katika sentensi ifuatayo. Batamzinga wa mzee yule…Answer: B. Ambata, kawaida
- Question 38: Chagua sentensi yenye kiwakilishi kionyeshi.Answer: B. Yule ndiye mwalimu wa lugha.
- Question 39: Nomino ubao iko katika ngeli gani?Answer: D. U – ZI
- Question 40: Chagua ukubwa wa sentensi hii: “Mzigo wa mwalimu umebebwa na ngamia.”Answer: B. Zigo la jalimu limebebwa na gamia.
- Question 41: Chagua sentensi isiyo sahihi kisarufi.Answer: C. Mtoto ambao hula vizuri hunenepa.
- Question 42: Tambua wingi wa sentensi hii: “Ufa ule ukutani una uzi uliofunga waya wa uta.”Answer: C. Nyufa zile kutani zina nyuzi zilizofunga nyaya za nyuta.
- Question 43: Kamilisha sentensi hii ipasavyo: Gari ___ limepakwa rangi nzuri.Answer: A. lake
- Question 44: Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwaAnswer: D. Jumapili
- Question 45: Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.Answer: A. Nilifika nyumbani mapema.
- Question 46: Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.Answer: B. Wanafunzi hodari walituzwa.
- Question 47: Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Answer: A. Mtoto yule ni kunguru.
- Question 48: Kubwa ni kwa ndogo kama vile nyeupe ni kwaAnswer: C. nyeusi
- Question 49: Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.Answer: D. Mwalimu alituambia kuwa siku iliyofuata ingekuwa Ijumaa.
- Question 50: Kiazi kidogo kimechemshwa kidogo. Maneno kidogo yametumikaje?Answer: C. Kivumishi, kielezi.