CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 41
Chagua sentensi isiyo sahihi kisarufi.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sentensi Sahihi Kisarufi
41. Chagua sentensi isiyo sahihi kisarufi.
- AMtoto alaye vizuri hunenepa.
- BMtoto ambaye hula vizuri hunenepa.
- CMtoto ambao hula vizuri hunenepa.
- DMtoto hunenepa baada ya kula vizuri.
Answer
C. Mtoto ambao hula vizuri hunenepa.
Mtoto ni wa ngeli ya A-WA, hivyo kirejeshi chake ni “ambaye”, si “ambao”.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tambua wingi wa sentensi hii: “Ufa ule ukutani una uzi uliofunga waya wa uta.”Question 42
- Kamilisha sentensi hii ipasavyo: Gari ___ limepakwa rangi nzuri.Question 43
- Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwaQuestion 44
- Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.Question 45
- Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.Question 46
- Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Question 47