CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 44
Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwa
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
44. Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwa
- AJumamosi
- BJumanne
- CAlhamisi
- DJumapili
Answer
D. Jumapili
Kuanzia leo: kesho, kesho kutwa, mtondo, mtondogoo. Mtondogoo ni siku ya nne baada ya leo. Ikiwa ni Ijumaa, leo ni Jumatatu, na jana ilikuwa Jumapili.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.Question 45
- Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.Question 46
- Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Question 47
- Kubwa ni kwa ndogo kama vile nyeupe ni kwaQuestion 48
- Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.Question 49
- Kiazi kidogo kimechemshwa kidogo. Maneno kidogo yametumikaje?Question 50