CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 46
Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
46. Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.
- AKitabu hiki ni chake.
- BWanafunzi hodari walituzwa.
- CWazazi wachache walihudhuria mkutano.
- DMtegemea cha nduguye hufa masikini.
Answer
B. Wanafunzi hodari walituzwa.
“Hodari” inaeleza sifa ya wanafunzi. “Hiki” ni kionyeshi, “chake” ni kimilikishi na “wachache” ni cha idadi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Question 47
- Kubwa ni kwa ndogo kama vile nyeupe ni kwaQuestion 48
- Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.Question 49
- Kiazi kidogo kimechemshwa kidogo. Maneno kidogo yametumikaje?Question 50
- Iwapo taifa halina wananchi waadilifu,Question 1
- Kulingana na kifungu “udongo wenye rutuba” niQuestion 2