CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 45
Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
45. Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.
- ANilifika nyumbani mapema.
- BNimeandaa chakula kitamu.
- CJuma huchora picha za kupendeza.
- DMama atasafiri kesho.
Answer
A. Nilifika nyumbani mapema.
Kiambishi -li- katika “nilifika” kinaonyesha wakati uliopita; -me- ni timilifu, hu- ni mazoea na -ta- ni ujao.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.Question 46
- Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Question 47
- Kubwa ni kwa ndogo kama vile nyeupe ni kwaQuestion 48
- Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.Question 49
- Kiazi kidogo kimechemshwa kidogo. Maneno kidogo yametumikaje?Question 50
- Iwapo taifa halina wananchi waadilifu,Question 1