CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 49
Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi na wa Taarifa
49. Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.
- AMwalimu alituambia kuwa keshoye itakuwa Ijumaa.
- BMwalimu alituarifu kuwa kesho ingekuwa Ijumaa.
- CKesho itakuwa Ijumaa, mwalimu alituambia.
- DMwalimu alituambia kuwa siku iliyofuata ingekuwa Ijumaa.
Answer
D. Mwalimu alituambia kuwa siku iliyofuata ingekuwa Ijumaa.
Katika usemi wa taarifa “kesho” huwa “siku iliyofuata”, na “ni” huwa “ingekuwa”.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kiazi kidogo kimechemshwa kidogo. Maneno kidogo yametumikaje?Question 50
- Iwapo taifa halina wananchi waadilifu,Question 1
- Kulingana na kifungu “udongo wenye rutuba” niQuestion 2
- Uadilifu huletaQuestion 3
- Kwa jumla, watakaochangia uadilifu shuleni ni wafuatao isipokuwaQuestion 4
- Jukumu la viongozi wa dini kulingana na kifungu niQuestion 5