CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 43
Kamilisha sentensi hii ipasavyo: Gari ___ limepakwa rangi nzuri.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
43. Kamilisha sentensi hii ipasavyo: Gari ______ limepakwa rangi nzuri.
- Alake
- Byake
- Czake
- Dpake
Answer
A. lake
Gari ni la ngeli ya LI-YA (gari limepakwa), hivyo kimilikishi ni “lake”.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwaQuestion 44
- Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.Question 45
- Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.Question 46
- Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Question 47
- Kubwa ni kwa ndogo kama vile nyeupe ni kwaQuestion 48
- Geuza katika usemi taarifa. “Kesho ni Ijumaa,” Mwalimu alituambia.Question 49