CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 42
Tambua wingi wa sentensi hii: “Ufa ule ukutani una uzi uliofunga waya wa uta.”
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
42. Tambua wingi wa sentensi hii: “Ufa ule ukutani una uzi uliofunga waya wa uta.”
- ANyufa zile kutani zina nyuzi ulizofunga waya wa uta.
- BNyufa zile zinyuzi zilizofunga nyaya za kutani.
- CNyufa zile kutani zina nyuzi zilizofunga nyaya za nyuta.
- DUfa zile kutani zina nyuzi ulizofunga waya wa nyuta.
Answer
C. Nyufa zile kutani zina nyuzi zilizofunga nyaya za nyuta.
Ufa → nyufa, ukutani → kutani, uzi → nyuzi, waya → nyaya, uta → nyuta, na viambishi vyote huwa vya ngeli ya ZI (zile, zina, zilizofunga, za).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi hii ipasavyo: Gari ___ limepakwa rangi nzuri.Question 43
- Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwaQuestion 44
- Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.Question 45
- Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha sifa.Question 46
- Chagua sentensi ambayo imetumia istiara.Question 47
- Kubwa ni kwa ndogo kama vile nyeupe ni kwaQuestion 48