CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 7
Mwandishi anaanza kwa kusema kuwa mazingira ni mambo
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 7 hadi la 12.
Mazingira ni jumla ya mambo yanayomzunguka binadamu. Ni mambo ambayo hutokea kuwa sehemu ya maisha ya mja kuanzia kwenye tabia, mienendo, imani, itikadi na hata afya. Wengi husema kuwa mazingira ni kiungo cha maisha.
Mtoto anapozaliwa katika mazingira yaliyojaa uhuni na uhalifu, huenda kikawa vigumu kumwelekeza mtoto kama huyu katika kutenda mema. Kumbuka amezoea kuwaona watu wakipigana, wakiumizana na kutoana damu. Je, ana imani gani kuhusu amani na utangamano?
Mazingira aidha yanaweza kuathiri utendaji kazi wa mtu. Mtu aliyelelewa katika mazingira ya ulevi hatafanya juhudi kubwa kuishi bila ya kuwa mraibu kwani dunia yake wakati wa ukuaji wake ilisheheni ulevi. Mtoto wa aina hii hujua kila aina ya matusi kwa kuwa mazingira yake yalijaa wenye vinywa vichafu kila wakati.
7. Mwandishi anaanza kwa kusema kuwa mazingira ni mambo
- Ayanayomzunguka binadamu.
- Banayoyazunguka binadamu.
- Canayozungusha binadamu.
- Dyanayomzungusha binadamu.
Answer
A. yanayomzunguka binadamu.
Sentensi ya kwanza ya kifungu: “Mazingira ni jumla ya mambo yanayomzunguka binadamu.”
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kati ya haya, ni lipi lisiloathiriwa na mazingira?Question 8
- Kulingana na maoni ya mwandishi kuhusu mtoto,Question 9
- Mtoto anayekua akishuhudia watu wakipigana na kuumizana,Question 10
- Mtoto anayejua kila aina ya matusi aghalabu huwaQuestion 11
- Chagua kichwa faafu cha kifungu hiki.Question 12
- Maonyesho ya kilimo huwa kila baada ya wakati gani?Question 13