CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 32
Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Miti ni ___26___ muhimu la mazingira. Miti ___27___ inayounda misitu inayoishia ___28___ makao ya wanyama. ___29___ nao huishia kuwa kitegauchumi kwani ___30___ watalii ambao hutuletea pesa za kigeni. Serikali hupata hela za kuendeleza miradi ya maendeleo ___31___ kipato hiki. Miti aidha hutumiwa ___32___ samani, kujenga nyumba ___33___ kusahau kuwapo kwa dawa za kiasili. Ni muhimu ___34___ miti na endapo utalazimika kukata, ni muhimu kupanda ___35___.
32. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.
- Akuunda
- Bkuundisha
- Ckuundia
- Dkuundiwa
Answer
C. kuundia
Baada ya “hutumiwa”, kitenzi huchukua kauli ya kutendea: miti hutumiwa kuundia samani.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Question 33
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Question 34
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Question 35
- Chagua ukanusho wa, Alisoma akafaulu.Question 36
- Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari (‘Batamzinga’ na ‘wageni’) katika sentensi ifuatayo.…Question 37
- Chagua sentensi yenye kiwakilishi kionyeshi.Question 38