CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 36
Chagua ukanusho wa, Alisoma akafaulu.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho wa Sentensi
36. Chagua ukanusho wa, Alisoma akafaulu.
- AHakusoma hakafaulu.
- BHakusoma wala hakufaulu.
- CAlisoma na hakafaulu.
- DHakusoma lakini akafaulu.
Answer
B. Hakusoma wala hakufaulu.
Ukanusho wa “alisoma” ni “hakusoma” na wa “akafaulu” ni “wala hakufaulu”.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari (‘Batamzinga’ na ‘wageni’) katika sentensi ifuatayo.…Question 37
- Chagua sentensi yenye kiwakilishi kionyeshi.Question 38
- Nomino ubao iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua ukubwa wa sentensi hii: “Mzigo wa mwalimu umebebwa na ngamia.”Question 40
- Chagua sentensi isiyo sahihi kisarufi.Question 41
- Tambua wingi wa sentensi hii: “Ufa ule ukutani una uzi uliofunga waya wa uta.”Question 42