CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 39
Nomino ubao iko katika ngeli gani?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
39. Nomino ubao iko katika ngeli gani?
- AU – YA
- BU – I
- CI – ZI
- DU – ZI
Answer
D. U – ZI
Ubao (umoja) huwa mbao (wingi): “ubao huu umevunjika, mbao hizi zimevunjika”, yaani ngeli ya U-ZI.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua ukubwa wa sentensi hii: “Mzigo wa mwalimu umebebwa na ngamia.”Question 40
- Chagua sentensi isiyo sahihi kisarufi.Question 41
- Tambua wingi wa sentensi hii: “Ufa ule ukutani una uzi uliofunga waya wa uta.”Question 42
- Kamilisha sentensi hii ipasavyo: Gari ___ limepakwa rangi nzuri.Question 43
- Ikiwa mtondogoo itakuwa Ijumaa, jana ilikuwaQuestion 44
- Chagua sentensi iliyo katika wakati uliopita.Question 45