naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 31

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.

Miti ni ___26___ muhimu la mazingira. Miti ___27___ inayounda misitu inayoishia ___28___ makao ya wanyama. ___29___ nao huishia kuwa kitegauchumi kwani ___30___ watalii ambao hutuletea pesa za kigeni. Serikali hupata hela za kuendeleza miradi ya maendeleo ___31___ kipato hiki. Miti aidha hutumiwa ___32___ samani, kujenga nyumba ___33___ kusahau kuwapo kwa dawa za kiasili. Ni muhimu ___34___ miti na endapo utalazimika kukata, ni muhimu kupanda ___35___.

31. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.

  1. Akutokana na
  2. Bkutokana kwa
  3. Ckutokania
  4. Dkutokana wa

Answer

A. kutokana na

Kiunganishi sahihi ni “kutokana na”: hupata hela kutokana na kipato hiki.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test