CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 20
Kwa jumla, ni aina ngapi za vyakula hazipunguzwi bei hata mara moja wikendi?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Jedwali
Mkahawa wa Mama Safi umeanza mpango wa kupunguza bei ya vyakula mbalimbali kila siku ya wiki ili kuwavutia wateja zaidi. Kila siku, aina fulani za vyakula hupunguzwa bei. Tazama jedwali lifuatalo kisha ujibu swali la 18 hadi 20.
| Samaki | ✓ | ✓ | |||||
| Pilau | ✓ | ✓ | ✓ | ||||
| Kuku | ✓ | ||||||
| Mandondo | ✓ | ✓ | ✓ | ||||
| Chapati | ✓ | ✓ | ✓ |
20. Kwa jumla, ni aina ngapi za vyakula hazipunguzwi bei hata mara moja wikendi?
- A4
- B2
- C5
- D3
Answer
B. 2
Ni samaki na kuku pekee wasio na alama ✓ Jumamosi wala Jumapili: aina 2.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kukamilisha nafasi ya 21 iliyoachwa wazi kwenye kifungu.Question 21
- Ni nini ambacho kinaonyesha kuwa mazungumzo kati ya Baraka na Nyanya ni ya mahojiano?Question 22
- Ni salamu gani ingefaa wakati wa asubuhi?Question 23
- Nyanya anamweleza Baraka kuwa “Mnafanana naye kama shilingi kwa ya pili” Je, hii ni mbinu gani ya lugha?Question 24
- Ni viziada lugha gani ambavyo Baraka ametumia kuonyesha hali ya kuona haya?Question 25
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Question 26