naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 19

Ni vyakula vipi havipunguzwi bei siku za wikendi?

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Jedwali

Mkahawa wa Mama Safi umeanza mpango wa kupunguza bei ya vyakula mbalimbali kila siku ya wiki ili kuwavutia wateja zaidi. Kila siku, aina fulani za vyakula hupunguzwa bei. Tazama jedwali lifuatalo kisha ujibu swali la 18 hadi 20.

Samaki✓✓
Pilau✓✓✓
Kuku✓
Mandondo✓✓✓
Chapati✓✓✓

19. Ni vyakula vipi havipunguzwi bei siku za wikendi?

  1. ASamaki na chapati.
  2. BPilau na chapati.
  3. CSamaki na kuku.
  4. DKuku na chapati.

Answer

C. Samaki na kuku.

Wikendi ni Jumamosi na Jumapili. Jumamosi hupunguzwa mandondo; Jumapili pilau na chapati. Samaki na kuku hawapunguzwi bei siku hizo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test