naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 18

Ni vyakula gani hupunguzwa bei kwa pamoja siku ya Jumanne na Jumapili?

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Jedwali

Mkahawa wa Mama Safi umeanza mpango wa kupunguza bei ya vyakula mbalimbali kila siku ya wiki ili kuwavutia wateja zaidi. Kila siku, aina fulani za vyakula hupunguzwa bei. Tazama jedwali lifuatalo kisha ujibu swali la 18 hadi 20.

Samaki✓✓
Pilau✓✓✓
Kuku✓
Mandondo✓✓✓
Chapati✓✓✓

18. Ni vyakula gani hupunguzwa bei kwa pamoja siku ya Jumanne na Jumapili?

  1. ASamaki, pilau na mandondo.
  2. BSamaki na mandondo.
  3. CPilau na chapati.
  4. DPilau na kuku.

Answer

C. Pilau na chapati.

Jedwalini, pilau na chapati pekee zina alama ✓ chini ya Jumanne na pia chini ya Jumapili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test