naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 29

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 11) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.

Miti ni ___26___ muhimu la mazingira. Miti ___27___ inayounda misitu inayoishia ___28___ makao ya wanyama. ___29___ nao huishia kuwa kitegauchumi kwani ___30___ watalii ambao hutuletea pesa za kigeni. Serikali hupata hela za kuendeleza miradi ya maendeleo ___31___ kipato hiki. Miti aidha hutumiwa ___32___ samani, kujenga nyumba ___33___ kusahau kuwapo kwa dawa za kiasili. Ni muhimu ___34___ miti na endapo utalazimika kukata, ni muhimu kupanda ___35___.

29. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.

  1. AHizi
  2. BHawa
  3. CWengine
  4. DWachache

Answer

B. Hawa

Nafasi hii inawarejelea wanyama waliotajwa, ambao ni wa ngeli ya A-WA: “Hawa nao…”.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test