CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8)
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Nchi ya Kenya inajivunia nini kati ya haya?Answer: A. Mandhari ya kuvutia na watu wa mila mbalimbali.
- Question 2: Ni nini huvutia watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani?Answer: C. Mlima Kenya, Mbuga ya Masai Mara na fukwe za Pwani.
- Question 3: Wanariadha wa Kenya wanajulikana kwa sababu yaAnswer: B. kushinda mashindano ya riadha duniani
- Question 4: Msimu wa masika huletaAnswer: C. mvua nyingi inayochochea ukuaji wa mazao
- Question 5: Maanguko ya maji yaliyotajwa kwenye kifungu ni yapi?Answer: C. Mto Thika na Thomson’s Falls
- Question 6: Kulingana na kifungu, mwandishi anajivunia kuwa Mkenya kwa sababu yaAnswer: B. maliasili na watu wenye bidii
- Question 7: Ni nani alipewa uwezo wa kuongoza viumbe wote?Answer: B. Binadamu
- Question 8: Mkutano wa viumbe uliitishwa kwa sababu viumbe walitakaAnswer: C. kukomesha uovu wa binadamu
- Question 9: Ni mnyama wa aina gani aliyekuwa kiongozi wa mkutano?Answer: A. Mnyama mkubwa zaidi
- Question 10: Kwa nini binadamu hakuhudhuria mkutano?Answer: C. Aliwadharau viumbe.
- Question 11: Ni nani alionya binadamu dhidi ya vitendo vyake viovu?Answer: A. Udongo
- Question 12: Binadamu alipokasirika, nini kilitokea?Answer: B. Miti, wanyama, mito na milima vilianza kutoweka.
- Question 13: Tabia gani kuu iliyoonyeshwa na Adili?Answer: D. Mkweli na msamehevu.
- Question 14: Ni nani alilalamika kwa kufichua siri?Answer: B. Ikibali
- Question 15: Tafakuri ilimwonyesha Adili kuelewa nini?Answer: A. Ukweli wa ukali wa mbwa hutokana na msasi.
- Question 16: Banani alikuwa na jukumu gani?Answer: A. Mjumbe na mchunguzi hodari.
- Question 17: Adili alishukuru kwa sababuAnswer: B. siri iliyogunduliwa imefika kwa mfalme
- Question 18: Adili alihofia nini kuhusu msaidizi wake?Answer: B. Kuwa mhaini.
- Question 19: Adili alitaka ukweli ujulikane iliAnswer: D. kumfanya mfalme ajue ukweli.
- Question 20: Adili alikuwa tayari kuthibitisha ukweli kwa sababuAnswer: B. siri ilikuwa imefichuka tayari
- Question 21: Mazungumzo haya yalifanyika wapi?Answer: C. Kitongoji cha Madongo Poromoka
- Question 22: Kwa nini wananchi walikusanyika?Answer: B. Kupata ushauri wa afya.
- Question 23: Magonjwa huambukizwa kwa njia gani kulingana na Afisa wa Afya?Answer: C. Kupitia mazingira machafu na mbu.
- Question 24: Hatari moja ya matumizi ya dawa za kulevya niAnswer: C. kusababisha saratani
- Question 25: Ugonjwa wa UKIMWI husambazwa kwa njia gani?Answer: B. Kupitia kwa damu yenye virusi.
- Question 26: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 26.Answer: C. jamii
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.Answer: A. mchango
- Question 28: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.Answer: B. tunaweza
- Question 29: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.Answer: C. umuhimu
- Question 30: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.Answer: A. watoto
- Question 31: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 31.Answer: D. Pia
- Question 32: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 32.Answer: C. sote
- Question 33: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.Answer: B. iliyo imara
- Question 34: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.Answer: C. athari
- Question 35: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Answer: B. maisha
- Question 36: Kamilisha methali. Mgaagaa na upwa ...Answer: D. hali wali mkavu.
- Question 37: Tegua kitendawili kifuatacho. Likienda hulia likirudi halilii.Answer: A. Debe
- Question 38: Mwenzako akifikwa na janga utamliwaza kwa kumwambiaAnswer: C. pole
- Question 39: Kanusha sentensi ifuatayo. Ng’ombe wangaliuzwa wakulima wangalipata pesa.Answer: B. Ng’ombe wasingaliuzwa wakulima wasingalipata pesa.
- Question 40: Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi. Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.Answer: B. Ingali
- Question 41: Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwaAnswer: C. mwandamizi
- Question 42: Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Answer: A. Mlolongo wa watu
- Question 43: Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?Answer: B. Kadhaa zimefunguliwa leo.
- Question 44: Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.Answer: D. Nyinyi mtawalisha watoto wa akina mama hao.
- Question 45: Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.Answer: C. Mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na tisa.
- Question 46: Andika sentensi hii kwa wingi. Ukuti ulitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.Answer: C. Makuti yalitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.
- Question 47: Bainisha sentensi isiyo na -ki- ya masharti.Answer: B. Kitabu hiki ni changu.
- Question 48: Ni jibu lipi lisilolingana na mengine?Answer: C. Tuonane – Kesho
- Question 49: Ni nomino ipi ambayo ni ya dhahania?Answer: B. Unyamavu
- Question 50: Eleza idadi kamili ya silabi na sauti katika neno "Kionjamchuzi"Answer: D. 6 silabi, 10 sauti