CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 38
Mwenzako akifikwa na janga utamliwaza kwa kumwambia
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkizi
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
38. Mwenzako akifikwa na janga utamliwaza kwa kumwambia
- Aashakum
- Bkunradhi
- Cpole
- Dsimile.
Answer
C. pole
Pole – kumhurumia.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ng’ombe wangaliuzwa wakulima wangalipata pesa.Question 39
- Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi. Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.Question 40
- Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwaQuestion 41
- Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?Question 43
- Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.Question 44