naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 42

Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino za Makundi

Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo

42. Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.

  1. AMlolongo wa watu
  2. BSafu ya magari
  3. CMkungu wa maua
  4. DTonge la ugali.

Answer

A. Mlolongo wa watu

Watu waliopanga mstari ni mlolongo; mkungu ni wa ndizi na maua huwa shada.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test