naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 46

Andika sentensi hii kwa wingi. Ukuti ulitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Wingi

Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo

46. Andika sentensi hii kwa wingi.
Ukuti ulitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.

  1. AKuti zilitolewa kwa paa na kutumiwa kwa mapishi.
  2. BMakuti yalitolewa kwa paa na kutumiwa kwa mapishi.
  3. CMakuti yalitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.
  4. DKuti zilitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.

Answer

C. Makuti yalitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.

Ukuti → makuti; "upishi" haubadiliki katika wingi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test