CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 49
Ni nomino ipi ambayo ni ya dhahania?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
49. Ni nomino ipi ambayo ni ya dhahania?
- AUyoga
- BUnyamavu
- CMaji
- DKuimba
Answer
B. Unyamavu
Haishikiki wala haionekani.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Eleza idadi kamili ya silabi na sauti katika neno "Kionjamchuzi"Question 50
- Nchi ya Kenya inajivunia nini kati ya haya?Question 1
- Ni nini huvutia watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani?Question 2
- Wanariadha wa Kenya wanajulikana kwa sababu yaQuestion 3
- Msimu wa masika huletaQuestion 4
- Maanguko ya maji yaliyotajwa kwenye kifungu ni yapi?Question 5