CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 50
Eleza idadi kamili ya silabi na sauti katika neno "Kionjamchuzi"
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Silabi na Sauti
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
50. Eleza idadi kamili ya silabi na sauti katika neno "Kionjamchuzi"
- A5 silabi, 12 sauti
- B6 silabi, 12 sauti
- C5 silabi, 11 sauti
- D6 silabi, 10 sauti
Answer
D. 6 silabi, 10 sauti
Ki-o-nja-m-chu-zi = silabi 6; sauti: k, i, o, nj, a, m, ch, u, z, i = 10.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Nchi ya Kenya inajivunia nini kati ya haya?Question 1
- Ni nini huvutia watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani?Question 2
- Wanariadha wa Kenya wanajulikana kwa sababu yaQuestion 3
- Msimu wa masika huletaQuestion 4
- Maanguko ya maji yaliyotajwa kwenye kifungu ni yapi?Question 5
- Kulingana na kifungu, mwandishi anajivunia kuwa Mkenya kwa sababu yaQuestion 6