CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 4
Msimu wa masika huleta
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 – 6.
Mimi ni Mkenya mzalendo. Nchi ya Kenya imebarikiwa kwa mandhari ya kuvutia na watu wa mila mbalimbali. Mlima Kenya wenye kilele cha theluji, Mbuga ya Masai Mara yenye wanyama wa kila aina na fukwe safi za Pwani huvutia wageni kutoka sehemu zote za dunia. Wanariadha wetu mahiri wameiweka Kenya kwenye ramani ya dunia kwa kushinda mashindano makubwa ya riadha. Hili hunifanya kujivunia taifa letu.
Kenya ina rasilimali nyingi. Kuna misitu minene, mito yenye maanguko ya kuvutia kama Thika na Thomson’s Falls, na ardhi yenye rutuba kwa kilimo. Msimu wa masika huleta mvua nyingi inayochochea ukuaji wa mazao, huku kiangazi kikileta jua kali linalofaa kwa shughuli za kila siku. Ninajivunia kuwa sehemu ya nchi hii yenye hazina kubwa ya maliasili na watu wenye bidii. Je, nawe unajivunia kuwa Mkenya?
4. Msimu wa masika huleta
- Ajua kali na upepo mkali
- Bbaridi kali na theluji
- Cmvua nyingi inayochochea ukuaji wa mazao
- Dmabadiliko ya upepo kutoka baharini.
Answer
C. mvua nyingi inayochochea ukuaji wa mazao
Aya ya pili.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Maanguko ya maji yaliyotajwa kwenye kifungu ni yapi?Question 5
- Kulingana na kifungu, mwandishi anajivunia kuwa Mkenya kwa sababu yaQuestion 6
- Ni nani alipewa uwezo wa kuongoza viumbe wote?Question 7
- Mkutano wa viumbe uliitishwa kwa sababu viumbe walitakaQuestion 8
- Ni mnyama wa aina gani aliyekuwa kiongozi wa mkutano?Question 9
- Kwa nini binadamu hakuhudhuria mkutano?Question 10