CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 48
Ni jibu lipi lisilolingana na mengine?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maagano
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
48. Ni jibu lipi lisilolingana na mengine?
- ANdoto njema – Ya mafanikio
- BBuriani – Buriani dawa
- CTuonane – Kesho
- DAlamsiki – Binuru
Answer
C. Tuonane – Kesho
Jozi nyingine ni maagano na majibu yake; "Tuonane" hujibiwa "Inshallah" au "Tuonane", si "Kesho".
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ni nomino ipi ambayo ni ya dhahania?Question 49
- Eleza idadi kamili ya silabi na sauti katika neno "Kionjamchuzi"Question 50
- Nchi ya Kenya inajivunia nini kati ya haya?Question 1
- Ni nini huvutia watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani?Question 2
- Wanariadha wa Kenya wanajulikana kwa sababu yaQuestion 3
- Msimu wa masika huletaQuestion 4