CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 47
Bainisha sentensi isiyo na -ki- ya masharti.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kiambishi -ki-
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
47. Bainisha sentensi isiyo na -ki- ya masharti.
- ATukitumia teknolojia tunaweza kufika mbali.
- BKitabu hiki ni changu.
- CTukipanda miti mingi viwango vya mvua vitaongezeka.
- DMkulima huyu akitumia mbolea ifaayo atapata mazao mengi.
Answer
B. Kitabu hiki ni changu.
"Ki" ya kitabu ni ngeli, si masharti.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ni jibu lipi lisilolingana na mengine?Question 48
- Ni nomino ipi ambayo ni ya dhahania?Question 49
- Eleza idadi kamili ya silabi na sauti katika neno "Kionjamchuzi"Question 50
- Nchi ya Kenya inajivunia nini kati ya haya?Question 1
- Ni nini huvutia watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani?Question 2
- Wanariadha wa Kenya wanajulikana kwa sababu yaQuestion 3