naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 45

Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Hesabu

Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo

45. Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.

  1. AMwaka wa moja tisa na tisini na tisa.
  2. BMwaka wa kenda mia, mia tisa tisini na tisa.
  3. CMwaka wa elfu moja mia tisa tisini na tisa.
  4. DMwaka wa kenda mia, mia tisa sitini na tisa.

Answer

C. Mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na tisa.

Elfu moja, mia tisa, tisini na tisa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test