naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 44

Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Wingi

Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo

44. Yakinisha sentensi hii kwa wingi.
Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.

  1. AWenye utamlisha mtoto wa mama huyo.
  2. BNyinyi mtalisha watoto wa akina mama hao.
  3. CSisi tutawalisha watoto wa akina mama hao.
  4. DNyinyi mtawalisha watoto wa akina mama hao.

Answer

D. Nyinyi mtawalisha watoto wa akina mama hao.

Wewe → nyinyi; mtoto → watoto; mama huyo → akina mama hao.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test