CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 43
Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
43. Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?
- AWalimu kumi wameajiliwa.
- BKadhaa zimefunguliwa leo.
- CWawili wanasafisha darasa.
- DMimi nitaenda shuleni.
Answer
B. Kadhaa zimefunguliwa leo.
"Kadhaa" haitaji idadi kamili.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.Question 44
- Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.Question 45
- Andika sentensi hii kwa wingi. Ukuti ulitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.Question 46
- Bainisha sentensi isiyo na -ki- ya masharti.Question 47
- Ni jibu lipi lisilolingana na mengine?Question 48
- Ni nomino ipi ambayo ni ya dhahania?Question 49