CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 41
Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwa
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
41. Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwa
- Akibwagizo
- Butao
- Cmwandamizi
- Dukwapi.
Answer
C. mwandamizi
Ukwapi (kwanza), utao (pili), mwandamizi (tatu).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?Question 43
- Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.Question 44
- Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.Question 45
- Andika sentensi hii kwa wingi. Ukuti ulitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.Question 46
- Bainisha sentensi isiyo na -ki- ya masharti.Question 47