CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 40
Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi. Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitenzi
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
40. Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi.
Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.
- ANyumba
- BIngali
- CInajengwa
- DMpya
Answer
B. Ingali
"Ingali" husaidia kitenzi kikuu "inajengwa".
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwaQuestion 41
- Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?Question 43
- Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.Question 44
- Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.Question 45
- Andika sentensi hii kwa wingi. Ukuti ulitolewa kwa paa na kutumiwa kwa upishi.Question 46