CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 39
Kanusha sentensi ifuatayo. Ng’ombe wangaliuzwa wakulima wangalipata pesa.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
39. Kanusha sentensi ifuatayo.
Ng’ombe wangaliuzwa wakulima wangalipata pesa.
- ANg’ombe wasingeliuzwa wakulima wasingelipata pesa.
- BNg’ombe wasingaliuzwa wakulima wasingalipata pesa.
- CNg’ombe wangeuzwa wakulima wangepata pesa.
- DNg’ombe wasingaliuzwa wakulima wasingepata pesa.
Answer
B. Ng’ombe wasingaliuzwa wakulima wasingalipata pesa.
-ngali- hukanushwa kuwa -singali- katika vitenzi vyote viwili.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi. Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.Question 40
- Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwaQuestion 41
- Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?Question 43
- Yakinisha sentensi hii kwa wingi. Wewe hutamlisha mtoto wa mama huyo.Question 44
- Andika kwa maneno. Mwaka wa 1999.Question 45