CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 37
Tegua kitendawili kifuatacho. Likienda hulia likirudi halilii.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Fasihi, Vitendawili
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
37. Tegua kitendawili kifuatacho.
Likienda hulia likirudi halilii.
- ADebe
- BRadi
- CJua
- DUpepo.
Answer
A. Debe
Debe tupu hulia; likijaa maji halilii.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Mwenzako akifikwa na janga utamliwaza kwa kumwambiaQuestion 38
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ng’ombe wangaliuzwa wakulima wangalipata pesa.Question 39
- Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi. Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.Question 40
- Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwaQuestion 41
- Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo na kiwakilishi cha idadi ya jumla?Question 43