CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 36
Kamilisha methali. Mgaagaa na upwa ...
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Fasihi, Methali
Kutoka swali la 36 – 50, jibu kila swali kwa kufuata maagizo
36. Kamilisha methali.
Mgaagaa na upwa ...........
- Ahafi njaa
- Bhula mkonowe
- Cndiye mshindi
- Dhali wali mkavu.
Answer
D. hali wali mkavu.
Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili kifuatacho. Likienda hulia likirudi halilii.Question 37
- Mwenzako akifikwa na janga utamliwaza kwa kumwambiaQuestion 38
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ng’ombe wangaliuzwa wakulima wangalipata pesa.Question 39
- Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi. Nyumba mpya ingali inajengwa shuleni.Question 40
- Kipande cha tatu cha ushairi kinaitwaQuestion 41
- Tambua nomino ya makundi ambayo ni sahihi.Question 42