naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 25

Ugonjwa wa UKIMWI husambazwa kwa njia gani?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 21 – 25.
(Kijijini Madongo Poromoka. Wananchi wamesimama kusikiliza Afisa wa Afya.)
Afisa: Masalkheri wananchi. Ningependa tuzungumze kuhusu magonjwa ya kuambukiza.
Wananchi: Aheri, asante kwa kufika.
Pendo: Magonjwa huambukizwa vipi?
Afisa: Kupitia mazingira machafu na mbu wa malaria.
Kazungu: Hatari za dawa za kulevya ni gani?
Afisa: Saratani, vifo, ndoa za mapema, ajali na kuacha shule.
Upendo: UKIMWI husambaa vipi?
Afisa: Kwa kufanya mapenzi, kutumia nyembe au damu iliyoambukizwa.
Wananchi: Asante kwa mafunzo.

25. Ugonjwa wa UKIMWI husambazwa kwa njia gani?

  1. AKwa kutumia chumvi nyingi.
  2. BKupitia kwa damu yenye virusi.
  3. CKwa kula chakula kilichopikwa.
  4. DKwa kutumia maji safi.

Answer

B. Kupitia kwa damu yenye virusi.

Damu iliyoambukizwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test