CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 17
Adili alishukuru kwa sababu
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 13 – 20.
Adili alikuwa mtu mwema na msamehevu. Alihisi huzuni na lawama alipogundua kuwa siri imefichuka kupitia Ikibali, huku yeye mwenyewe pia akilaumiwa kwa ukatili. Kupitia tafakuri, alitambua kuwa ukali wa mbwa unatokana na msasi. Banani, mjumbe wake, alikuwa mchunguzi hodari ambaye aligundua mambo ya kweli, ingawa ukweli huo haukumfurahisha Adili wala mfalme.
Adili alikuwa na kipawa bora cha kutambua maovu na alikishukuru. Alifurahia kwamba siri hiyo sasa ilikuwa imefika kwa mfalme, jambo ambalo mwenyewe alitamani, ingawa aliogopa kuonekana kama mhaini kwa msaidizi wake. Kwa vile siri ilikuwa imefichuka, Adili alikuwa tayari kuthibitisha ukweli huo mbele ya mfalme.
17. Adili alishukuru kwa sababu
- Aalipata mali nyingi
- Bsiri iliyogunduliwa imefika kwa mfalme
- Calipata cheo mpya
- Daliweza kukimbia hatari.
Answer
B. siri iliyogunduliwa imefika kwa mfalme
Aya ya pili.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Adili alihofia nini kuhusu msaidizi wake?Question 18
- Adili alitaka ukweli ujulikane iliQuestion 19
- Adili alikuwa tayari kuthibitisha ukweli kwa sababuQuestion 20
- Mazungumzo haya yalifanyika wapi?Question 21
- Kwa nini wananchi walikusanyika?Question 22
- Magonjwa huambukizwa kwa njia gani kulingana na Afisa wa Afya?Question 23