naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 22

Kwa nini wananchi walikusanyika?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 21 – 25.
(Kijijini Madongo Poromoka. Wananchi wamesimama kusikiliza Afisa wa Afya.)
Afisa: Masalkheri wananchi. Ningependa tuzungumze kuhusu magonjwa ya kuambukiza.
Wananchi: Aheri, asante kwa kufika.
Pendo: Magonjwa huambukizwa vipi?
Afisa: Kupitia mazingira machafu na mbu wa malaria.
Kazungu: Hatari za dawa za kulevya ni gani?
Afisa: Saratani, vifo, ndoa za mapema, ajali na kuacha shule.
Upendo: UKIMWI husambaa vipi?
Afisa: Kwa kufanya mapenzi, kutumia nyembe au damu iliyoambukizwa.
Wananchi: Asante kwa mafunzo.

22. Kwa nini wananchi walikusanyika?

  1. AKusherehekea sikukuu ya kitaifa.
  2. BKupata ushauri wa afya.
  3. CKufanya uchaguzi wa viongozi.
  4. DKununua dawa.

Answer

B. Kupata ushauri wa afya.

Walimsikiliza Afisa wa Afya.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test