CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025: Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 38 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 38 questions with answers
- Question 1: Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi?Answer: Kwa sababu ya utukutu na majisifu yake.
- Question 2: Kondoo aliishi vizuri na wanyama wengine shambani. Thibitisha kauli hii kwa kurejelea kifungu.Answer: Kondoo alipendwa na wanyama wengine kutokana na upole, ukarimu na kujali maslahi ya wengine.
- Question 3: Nini kilimwokoa kondoo?Answer: Safari ya wakwe ilivunjiliwa mbali kwa sababu babamkwe aliugua ghafla; walikuja wageni wawili tu, kwa hiyo…
- Question 4: Umejifunza nini kutokana na kifungu hiki?Answer: Tusifurahie masaibu ya wengine; tumtegemee Mungu wakati wa shida.
- Question 5: Jukumu la kudumisha usafi wa maeneo mbalimbali ni la nani?Answer: Ni la serikali za magatuzi na wakazi wa maeneo hayo.
- Question 6: Wananchi wanawezaje kuonyesha uwajibikaji wao?Answer: C. Kutenga muda wa kusafisha mazingira yao.
- Question 7: Watu wanapaswa kuvalia mavazi yafaayo wanaposhiriki shughuli za kunadhifisha mazingira. Taja ugonjwa mmoja unaotokana na uchafuzi wa…Answer: Kipindupindu.
- Question 8: Neno sepetu lina maana sawa na beleshi. Kisawe cha neno dhati ni?Answer: B. Uaminifu.
- Question 9: Andika habari kuu katika aya ya kwanza kwa sentensi moja.Answer: Tunapaswa kuyatunza maliasili yetu na kuyatumia kwa uwajibikaji ili taifa letu liimarike kiuchumi.
- Question 10: Vijana wakitumia maarifa wanayopata katika taasisi za kielimu wanaweza kuunda bidhaa humu humu nchini ili tuache kutegemea za kwingine.…Answer: Vijana watumie elimu yao kuunda bidhaa ili tuache utegemezi.
- Question 11: Andika ujumbe uliokolezwa rangi katika aya ya mwisho kwa sentensi moja. Ujumbe uliokolezwa rangi ni: "Tukiendelea na tabia yetu ya kukopa…Answer: Tukiacha kukopa na kutumia vizuri rasilimali zetu wenyewe, tutamaliza umaskini nchini mwetu.
- Question 12: Andika kichwa kifaacho zaidi kwa kifungu hiki.Answer: Matumizi Bora ya Maliasili
- Question 13: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.Answer: C. Inapaswa
- Question 14: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 14.Answer: B. Kati ya
- Question 15: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.Answer: D. Kumhakikishia
- Question 16: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.Answer: A. hana budi
- Question 17: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.Answer: C. Kujithamini
- Question 18: Kadi zifuatazo zina nomino za aina mbalimbali. Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.Answer: D. Baiskeli, Taa, Mkoba, kisu
- Question 19: Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.Answer: Juma alikuwa akisoma kitabu cha hadithi.
- Question 20: Tumia viambishi ngeli vifaavyo kukamilisha sentensi hii. Ushirikiano wetu …... metusaidia kukamilisha kazi …... liyokuwepo kwa haraka.Answer: Ushirikiano wetu umetusaidia kukamilisha kazi iliyokuwepo kwa haraka.
- Question 21: Kago alikuwa akizifua nguo zake. Kitenzi ‘alikuwa’ (kilichopigwa mstari) ni cha aina gani?Answer: Kitenzi kisaidizi.
- Question 22: Kamilisha jedwali lifuatalo. Andika jibu la agano ‘Alamsiki’.Answer: Binuru.
- Question 23: Akifisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. shule ya bidii ina wanafunzi wenye nidhamuAnswer: Shule ya Bidii ina wanafunzi wenye nidhamu.
- Question 24: Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwaAnswer: nyota
- Question 25: Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.Answer: Nyumba zilizojengwa zina mapaa ya kupendeza.
- Question 26: Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa. Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.Answer: Mifugo wale wamepelekwa malishoni na Yona.
- Question 27: Kanusha sentensi ifuatayo kwa usahihi. Tungalitunza misitu ipasavyo tungalipata manufaa mengi.Answer: Tusingalitunza misitu ipasavyo tusingalipata manufaa mengi.
- Question 28: FASIHI 28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.Answer: Fasihi simulizi huwasilishwa kwa mdomo lakini fasihi andishi huwasilishwa kwa maandishi. Fasihi simulizi ni…
- Question 29: (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto.Answer: Bembelezi huimbwa na wazazi au walezi ili kuwatuliza au kuwalaza watoto, lakini nyimbo za watoto huimbwa na…
- Question 30: (c) Andika sifa nne za bembelezi.Answer: Huimbwa na wazazi au walezi; huimbwa kwa sauti nyororo na mahadhi ya chini; huwa fupi; huwa na urudiaji wa…
- Question 31: (d) Andika sifa tatu za nyimbo za watoto.Answer: Huimbwa kwa furaha; huambatana na uchezaji; huwa na urudiaji wa maneno.
- Question 32: a) Andika aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika dondoo hili.Answer: Mandhari ya kijijini (mto Salama na daraja) na mandhari ya mjini alikotoka Mela.
- Question 33: b) Suala la uchafuzi wa mazingira limeangaziwa katika dondoo hili. Eleza mifano miwili ya jinsi binadamu anavyochafua mazingira kulingana…Answer: Kujenga viwanda kando ya mto Salama kumefanya maji yake kuwa ya kahawia. Mjini kuna mabiwi ya takataka na…
- Question 34: c) Mwandishi wa dondoo hili ametumia mbinu mbalimbali za lugha. Kauli ifuatayo imetumia tamathali gani ya usemi? i. Kupigwa na bumbuwaziAnswer: Nahau.
- Question 35: Kauli ifuatayo imetumia tamathali gani ya usemi? ii. Mwenye macho haambiwi tazamaAnswer: Methali.
- Question 36: Kauli ifuatayo imetumia tamathali gani ya usemi? iii. Mto wenyewe ulilipiza kisasi kwa kuwanyima maji ya kutumiaAnswer: Tashhisi.
- Question 37: d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto.Answer: Mto Salama ulikuwa na maji mengi na maporomoko ya ajabu. Kwenye mteremko kulikuwa na kichaka kikubwa cha…
- Question 38: e) Ni akina nani waliochangia zaidi katika uchafuzi wa mazingira kijijini?Answer: Wawekezaji wa kibinafsi, waliojenga viwanda na kuanzisha shughuli za kilimo-biashara kandokando ya mto Salama.