naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 13

Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

SARUFI.
Jaza pengo kwa kuchagua jibu sahihi. (alama 5)

Familia ______13______ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ______14______ njia hizo ni ______15______ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ______16______ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ______17______ maishani.

13) Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.

  1. AWanapaswa
  2. Bmnapaswa
  3. CInapaswa
  4. DAnapaswa

Answer

C. Inapaswa

Familia ni nomino ya ngeli ya I-ZI (umoja), kwa hiyo kiambishi ni i-: “Familia inapaswa kumhudumia mtoto.”

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test