CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 19
Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati na Hali
19) Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea.
Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.
Answer
Juma alikuwa akisoma kitabu cha hadithi.
Wakati uliopita hali ya kuendelea huundwa kwa “alikuwa” pamoja na kitenzi chenye -ki- au -na-: alikuwa akisoma.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tumia viambishi ngeli vifaavyo kukamilisha sentensi hii. Ushirikiano wetu …... metusaidia kukamilisha kazi …...…Question 20
- Kago alikuwa akizifua nguo zake. Kitenzi ‘alikuwa’ (kilichopigwa mstari) ni cha aina gani?Question 21
- Kamilisha jedwali lifuatalo. Andika jibu la agano ‘Alamsiki’.Question 22
- Akifisha sentensi ifuatayo kwa usahihi. shule ya bidii ina wanafunzi wenye nidhamuQuestion 23
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwaQuestion 24
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.Question 25