CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 24
Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati wa Makundi
24) Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa
Answer
nyota
Umati ni kundi la watu wengi, na thureya ni kundi la nyota.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa. Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo kwa usahihi. Tungalitunza misitu ipasavyo tungalipata manufaa mengi.Question 27
- FASIHI 28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.Question 28
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto.Question 29
- (c) Andika sifa nne za bembelezi.Question 30