CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 26
Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa. Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
26) Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa.
Yona amewapeleka mifugo wale malishoni.
Answer
Mifugo wale wamepelekwa malishoni na Yona.
Katika kauli ya kutendwa, waliotendwa (mifugo wale) hutangulia na kitenzi huchukua -w-: wamepelekwa … na Yona.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi ifuatayo kwa usahihi. Tungalitunza misitu ipasavyo tungalipata manufaa mengi.Question 27
- FASIHI 28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.Question 28
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto.Question 29
- (c) Andika sifa nne za bembelezi.Question 30
- (d) Andika sifa tatu za nyimbo za watoto.Question 31
- a) Andika aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika dondoo hili.Question 32