CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 28
FASIHI 28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
FASIHI
28) (a) Andika tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.
Answer
Fasihi simulizi huwasilishwa kwa mdomo lakini fasihi andishi huwasilishwa kwa maandishi. Fasihi simulizi ni mali ya jamii lakini fasihi andishi ni mali ya mtu binafsi (mwandishi). Fasihi simulizi huhifadhiwa akilini lakini fasihi andishi huhifadhiwa katika maandishi.
Tofauti hutokana na jinsi kila fasihi inavyowasilishwa, kuhifadhiwa na kumilikiwa: simulizi ni ya mdomo, ya jamii na hubadilika; andishi ni ya maandishi, ya mwandishi mmoja na haibadiliki.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto.Question 29
- (c) Andika sifa nne za bembelezi.Question 30
- (d) Andika sifa tatu za nyimbo za watoto.Question 31
- a) Andika aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika dondoo hili.Question 32
- b) Suala la uchafuzi wa mazingira limeangaziwa katika dondoo hili. Eleza mifano miwili ya jinsi binadamu anavyochafua…Question 33
- c) Mwandishi wa dondoo hili ametumia mbinu mbalimbali za lugha. Kauli ifuatayo imetumia tamathali gani ya usemi? i.…Question 34